CONTACTS

 

Daniel Manege
2016 – 120′
TANZANIA

Edited – Yusuph Kisoki
Production designer –Mugisha kagya
Produced by Global Education link Daniel manege
Actors: Salim Ahmed – Juma Rajabu- Rachel Kuyunga –John Lazaro- Mammy Jumaa

 

 

When Gwalu Gwalumbe, a ghetto-wise newspaper seller loses his bike his world turns sour. Unemployed and unemployable, he makes the hard decision to return to school and complete his primary school studies in order to set himself up for life…and what a life!

Gwalu Gwalumbe kijana anayejishughulisha na uuzaji wa magazeti kwa kutumia baiskeli katika kitongoji cha mtakuja, anapatwa na mtihani wa maisha baada ya baiskeli yake kuibiwa, elimu yake darasa la nne inampelekea kupata wakati mgumu kupata kazi ndipo anapofanya maamuzi ya kurudi shule ya msingi akiamini ndio njia pekee ya kumfanya awe na maendeleo zaidi , je atafikia kufikea malengo yake ?