[et_pb_section admin_label=”section”][et_pb_row admin_label=”row”][et_pb_column type=”1_2″][et_pb_image admin_label=”Image” show_in_lightbox=”off” url_new_window=”off” animation=”off” sticky=”off” align=”left” force_fullwidth=”off” always_center_on_mobile=”on” use_border_color=”off” border_color=”#ffffff” border_style=”solid” use_overlay=”off” src=”https://ziffestival.org/wp-content/uploads/2016/06/ZA-MWIZI.jpg”] [/et_pb_image][et_pb_text admin_label=”Text” background_layout=”light” text_orientation=”left” use_border_color=”off” border_color=”#ffffff” border_style=”solid”]

CONTACTS

barakabernard88@gmail.com

[/et_pb_text][/et_pb_column][et_pb_column type=”1_2″][et_pb_text admin_label=”CRedits” background_layout=”light” text_orientation=”left” use_border_color=”off” border_color=”#ffffff” border_style=”solid” text_text_color=”#001d6d” disabled=”off” disabled_on=”on||”]

Gabriel Baraka
2016
TANZANIA

 

[/et_pb_text][et_pb_text admin_label=”SYNOPSIS” background_layout=”light” text_orientation=”left” use_border_color=”off” border_color=”#e09900″ border_style=”solid” text_font=”Arvo||||” text_font_size=”20″]

Ikiwa mtaani jamii inasumbuliwa na wezi.Asubuhi na mapema msichana Sara( SAIDA WAZIRI),mwanafunzi  wa sekondari anaacha kwenda shule na kuingia chumbani kwa mpenzi wake(ABDALLA RAJABU),ambaye ni mpangaji.Baada ya kuhakikisha mama yake sara(ASHA BAYUNI) amekwenda shamba na nyumbani kupo kimya ndipo mapenzi yanapoanza.

Wakiwa katika maandalizi ya mapenzi,Sara anaanguka chini ghafla,mpenzi wake anastushwa na hali hiyo.Anajaribu kumpa huduma ya kwanza  ,anampekuwa na kugundua kuwa dawa alizonazo kwenye begi zimeisha na yeye hana pesa .Imani yake inamtuma kwenda chumbani kwa kina Sara kuvunja mlango na kutafuta  dawa.

Zoezi la kuingia ndani linakuwa  gumu  kwa sababu kaka wa mama Sara (ATHUMAN RAJABU) yupo nyumbani  nje anajiaanda kuoga.Anapata nafasi ya kuingia ndani,kumbe mama Sara alisahau kufunga mlango na funguo,anarudi na kufunga mlango,mpenzi wa sara akiwa ndani.Kazi anaipata katika kutafua njia ya kutoka bila ya kugundulika na huku Sara hali yake inazidi kuwa mbaya.

[/et_pb_text][/et_pb_column][/et_pb_row][/et_pb_section]