Ruth  Beni
2015 – 6′
UK/TANZANIA

Naana  Otoo-oyortey (forward) – Executive Producer
Ruth BeniExecutive  – Producer
Daniel Sgan Cohen – Animation

 

‘The True Story of Ghati and Rhobi’ is a five minute animated film aimed at raising awareness of female genital mutilation (FGM). It tells the inspirational story of two girls (Ghati and Rhobi) resisting their community’s practice of FGM

Simulizi ya Kweli ya Ghati na Rhobi ni filamu ya uhuishaji ya dakika tano inayolenga kuongeza uelewa juu ya ukeketaji. Inaeleza simulizi ya kuvutia ya wasichana wawili (Ghati na Rhobi) ambao walikaataa ukeketaji kwenye jamii yao.