“NAKUPENDA NDIO MAANA NAKUPIGA MKE WANGU” na BWINIBWI LA SERA WIZARANI.

“NAKUPENDA NDIO MAANA NAKUPIGA MKE WANGU” na BWINIBWI LA SERA WIZARANI. Baada ya kusikiliza hotuba ya Muheshimiwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na majibu ya Kamati ya Bunge kuhusu hotuba hiyo siku hiyo hiyo, nilielewa msingi wa msemo huo hapo ju, “Nakupenda ndio maana nakupiga mke wangu” Maana kwa jinsi sanaa na michezo zilivyomwagiwa […]

TUWEKE MIUNDOMBINU MUHIMU NA SERA BORA KWANZA

TUWEKE MIUNDOMBINU MUHIMU NA SERA BORA KWANZA Nisingependa kupoteza muda kuzungumzia jinsi Hollywood inavyoitawala dunia japo kwa sasa Marekani haina nguvu duniani. Hiyo yote ni alama ya nguvu ya filamu na television duniani na hasa ubepari unavyoubeba Umarekani.“Hollywood also has a significant impact on global media, as American television shows and movies are widely distributed […]